Kimalay cha Banda

Kimalay ya Banda ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye visiwa vya Banda na Seram. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Banda imehesabiwa kuwa watu 3690. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Banda iko katika kundi la Kimalayiki. Wengine huiangalia kama krioli.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search